Loko Fundi — Kampuni ya Ujenzi Zanzibar
Loko Fundi husimamia ujenzi wako kuanzia makadirio hadi makabidhiano. Tunajenga nyumba za makazi, villa na nyumba za kupangisha, tunafanya ukarabati wa nyumba, ofisi na maduka, tunaandaa makadirio ya BOQ, na tunasimamia miradi ya ujenzi Unguja yote.
Huduma zetu
- Ujenzi wa nyumba mpya na villa
- Ukarabati: gypsum, umeme, sakafu, rangi
- Makadirio na BOQ
- Usimamizi wa mradi na ripoti za maendeleo
- Michoro na vibali vya ujenzi
- Ulinzi wa eneo la kazi
Maeneo tunayohudumia
Mjini, Fuoni, Mwera, Kisakasaka, Mbweni, Chukwani, Bububu, Mahonda, Nungwi, Kendwa, Kiwengwa, Matemwe, Paje, Jambiani, Michamvi, Makunduchi na Unguja yote.
Construction company in Zanzibar
Loko Fundi builds homes and villas, renovates offices and shops, prepares bills of quantities and manages construction projects across Zanzibar. We work in English and Swahili.
Simu / Phone: 0776 419 456 · info@lokofundi.tz · Dkt Hussein Ali Mwinyi Apartments, Mombasa, Zanzibar · Island Luxe Company Limited